Kamusi ya Karne ya 21

Kamusi inayoakisi Maendeleo na Masuala Ibuka ya lugha ya Kiswahili
- Vidahizo vipatavyo 42,000.
- Uanishaji wa ngeli,mifano na matumizi.
- Usarufi wa maneno kupitia vitengo na kategoria zake.
- Virejeleo vya taaluma za Kemia, Fizikia,Hisabati,Biologia na Jiografia.
- Michoro kabambe ya kuvutia,yenye maelezo,uwazi na usahili.
- Matumizi ya methali, maana za misemo,nahau na tashbihi.
- Ubainisho wa rangi,miti,matunda,mawingu,sayari,mataifa na utaifa.
- Mwainisho wa visawe,vitawe,vitate,viumbe na vikembe vyao.
- Kamusi yenye uketo zaidi kuwahi kuchapishwa duniani.


